Thursday, 19 January 2017

Unaweza kuacha kutumia sukari na kutumia asali yenye faida hizi


Faida za Asali Mwilini
Asali inasaidia kuchochea kumbukumbu kwa wale walio na matatizo ya kusahau sahau asali inasaidia sana kukufanya ukumbuke, Tunaweza kusema ina boost Kumbukumbu zako.

Matatizo ya kupata usingizi yanaweza kutibika kwa kutumia asali mara kwa mara, na inaweza kusaidia watu wanaopata matatizo ya usingizi na walale vizuri.

Aidha, asali pia ni dawa ya mba kichwani na unaweza kuchanganya na maji ya moto na kupaka katika sehemu husika na kuiacha kwa muda kabla haujaiosha.

kwa wanawake wanaopenda urembo,Asali pia unaweza kuipaka usoni kwa muda na ukaitoa na kunawa na maji ya uvugu uvugu husaidia kun’garisha ngozi na kuifanya ngozi yako iwe na mvuto. 

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment