Monday, 9 January 2017

Usihangaike na vidonda vya mdomoni, anza kutumia majani ya mperaVidonda vya kinywa ni michubuko inayotokea kwenye mdomo na ulimi. Vidonda hivi huweza kusababisha mhusika kupata maumivu ya kinywa.

Mara nyingi tatizo hili huwa halina chanzo cha moja kwa moja. Mara nyingi vidonda hivi husababishwa na uharibifu wa utando laini ndani ya kinywa au mhusika unapojing'ata.

Pia tatizo hili huweza kuwa dalili ya magonjwa fulani fulani husani yale yanayosababishwa na virusi

Hata hivyo, ni vyema ukafahamu kuwa unaweza kupunguza madhara ya tatizo hili kwa kutumia majani ya mpera.
Kidonda cha mdomoni

Unachopaswa kufanya ni kuchemsha maji ya mpera kisha tumia maji hayo kusukutua mdomoni asubuhi na jioni ndani ya siku tatu hadi wiki moja na utaona mabadiliko.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba : 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa ushauri huu umeletwa kwako chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment