
Tunda hili wengi wetu tumekuwa tukilitumia sana huenda kutokana na kupenda ladha yake tu, lakini hili ni moja ya tunda ambalo pia lina faida nyingi katika miili yetu.
Miongoni mwa faida za chenza ni pamoja na kuongeza vitamin C mwilini kama ilivyo katika chungwa, pia husaidia kuimarisha mifupa.
Tunda hili pia husaidia kuzuia kuvuja kwa damu kwenye fizi.
Ili tunda hili liweze kukusaidia unachotakiwa ni wewe kuzingatia kula kila unapoweza kulipata tunda hili.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment