Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 22 February 2017

Aina 4 ya vinywaji & vyakula vyakuepuka kama unataka kupunguza 'unene'ZOEZI la kupunguza uzito si jambo jepesi sana kwani linahitaji umakini sana hususani katika mtindo wa maisha na hata mabadiliko ya ratiba ya mlo.

Leo napenda kukufahamisha hii orodha fupi ya vyakula ambavyo hupaswi kuvitumia wakati ukiwa katika harakati za kupunguza mwili au uzito.

1. Epuka ulaji wa mara kwa mara wa chips


Vitu vyenye mafuta mengi hii ni kwasababu chakula hicho kimesheheni 'calories' na 'fat' ambayo huweza kuchangia mwili kuendelea kunenepa, lakini pia chakula hicho huongeza kiwango cha sukari kwenye damu na hivyo kuchangia mhusika kushindwa kufanikiwa kupunguza mwili.

2. Unywaji wa soda mara kwa mara

Mtaumizi ya soda, ikiwa unahitaji kupunguza mwili pia ni muhimu kuepuka matumizi ya vinjwaji baridi hususani soda.

3. Bisi au Popcorn
Bisi ni kitafunwa kizuri na huburudisha kinywa, lakini pia kitafunwa hiki hakiwezi kumfaa mtu mwenye malengo ya kupunguza mwili kwasababu kimesheheni 'carbohydrates' ambayo husaidia kuongeza nguvu mwilini na hivyo kuongeza mwili pia ikiwa kiburudisho hicho kitatumika mara kwa mara.

4. Matumizi ya bia


Kama kweli unatamani kupungua uzito ni vyema pia ukaacha kutumia bia

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment