Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 24 February 2017

Dalili hizi zinatosha kukwambia kuwa una magonjwa ya zinaa


Habari za leo mdau wangu wa www.dkmandai.com, leo nimeona ni vizuri tufahamishane kuhusu dalili za magonywa yanayoene kwa njia ya ngono

Kwa kuanza kwa sasa tutaanza na dalili ambazo hujitokeza kwa wanawake mara wanapopatwa na maambukizi haya:

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake / wasichana ni pamoja na:

- Kutokwa na ute usio wa kawaida ndani ya uke ukiwa mnene, mzito na una harufu mbaya au rangi

- Maumivu ya chini ya tumbo.

- Maumivu au kuhisi maumivu makali wakati wa kupitisha mkojo.

- Maumivu wakati wa kufanya ngono

- Kutoka damu ukeni isiyo ya kawaida

- Kuwashwa sehemu za siri

- Kupata uvimbe usio wa kawaida ukeni au katika sehemu za siri

- Jeraha, kidonda katika sehemu za siri

- Vipele, ikiwa ni pamoja vipele katika kiganja cha mkono na nyayo za miguu.


Kama utakuwa umeona dalili kama hizo basi ni vizuri ukawasiliana na wataalamu wa afya au fika kwenye hospitali iliyokaribu nawe au tupigie simu kwa ushauri zaidi namba zetu ni  0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment