Monday, 6 February 2017

Faida 4 za mbegu za fenesi kwa wenye vidonda vya tumbo


Fenesi ni moja ya tunda lenye utamu wake pamoja na virutubisho vingi muhimu ndani ya mwili wa binadamu.

Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri basi utakumbuka kuwa tunda hili tayari tumeshawahi kulizungumzia mara kadhaa, lakini leo napenda kukwambia faida za mbegu zake.


1. Husaidi kupunguza mikunjo mwilini
Unapopata unga wa mbegu za fenesi na ukichanganya na maziwa halafu ukatumia mchanganyiko huo kwa wiki 6 hutoa matokeo mazuri.

2. Husaidia ukuzaji wa nywele
Kwa kuwa mbegu hizi zinakiwango kikubwa cha vitamin A ambayo ni moja ya kirutubisho muhimu katika ukuzaji wa nywele.

3. Kuimarisha kinga za mwili
Mbegu hizi ni chanzo kizuri cha vitamin C ambayo husaidia katika kuimarisha kinga ndani ya miili yetu.

4. Huimarisha afya ya mifupa pamoja na kutatua tatizo la vidonda vya tumbo pia

Kimsingi kuna mengi sana kuhusu tunda hili na bidhaa mbalimbali zinazotokana na tunda hili la stafeli, lakini kwa mengine mengi tutafute sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 ili tukupatie ushauri zaidi

Pia unaweza kuwasiliana nasi kupitia barua pepe ya dkmandaitz@gmail.com

Ushauri  huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment