Thursday, 9 February 2017

Hivi ndio vinjwaji vinavyoweza kuwasaidia wanaume kiafya


Kuna vinywaji kadhaa ambavyo huwa ni muhimu zaidi kwa afya ya wanaume na kusaidia kuwa na ukamirifu zaidi katika mambo kadhaa likiwemo suala la kimahusiano.

Sasa leo ninayo hapa orodha ya vinywaji muhimu kwa wanaume,

1.  Juisi ya ndizi
Ndizi zimesheheni kiini lishe kiitwacho bromelain ambayo ni muhimu kwa wanaume katika kuimarisha hisia za kushiriki tendo la ndoa.

2. Asali


Asali ni bidhaa nyingine asili ambayo ni tamu na yenye uwezo wa kuongeza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Juisi ya alovera

Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa juisi hii inauwezo wa kutengeneza hormoni za tendo la ndoa

Hata hivyo, ni vyema kuwasiliana nasi ili kupata ufafanuzi zaidi wa matumizi ya vinywaji hivyo ili kuimarisha uwezo wako wa kushiriki tendo

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment