Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 20 February 2017

Hizi hapa aina 8 za vyakula rafiki kwa afya ya moyo wako


Kuna baadhi ya vyakula au matunda ambayo ukila huenda kusaidia kuimarisha afya ya moyo wako na kumfanya ufanye kazi zake mwilini kwa ufanisi zaidi.

Ndio maana leo nimeona nikuandalie hii orodha ya vyakula, matunda na mboga ambavyo husaidia kulinda afya ya moyo.

1. Tikitimaji

2. Maziwa mgando (mtindi)

3.Nyanya

4. Parachichi.

5. Mboga za majani

6. Maharage

7. Samaki

8. Njegere

Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi kuhusu vyakula na matunda hayo unaweza kutupigia simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment