Monday, 6 February 2017

Jinsi kijiko kimoja cha asali kinavyoweza kulinda afya yako


Asali husifika kwa kuwa na ladha tamu lakini na uwezo wake mkubwa wa kumsaidia mwanadamu kujikinga dhidi ya maradhi kadhaa.

Leo nimeona nikwambie haya mengine mazuri zaidi kuhusu asali pale inapotumika vyema:-

1. Husaidia kulainisha jipu na kuondoa usaha

2. Hutuliza tumbo

3. Husaidia kifua na mapafu.

4. Hutumia kuweka kwenye kidonda cha wazi

5. Ili tumbo lako lifanye kazi vizuri jizoeshe kunywa kijiko kimoja cha asali asubuhi kabla ya kula chochote.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment