Sunday, 5 February 2017

Jinsi Mtaalam Mandai alivyowekwa mtu kati leo kupitia Magic Fm

Kwa wewe ambaye utakuwa umepitwa na kipindi cha leo Jumapili ya tarehe 25/02 /2017 kilichokuwa kikizungumzia masuala ya ujasiriamali na namna ya kuanzisha biashara na kuziendesha katika mafanikio.

Ni kweli ni mengi yamezungumzwa kupitia kipindi hicho lakini mengi zaidi ya hayo utayapata siku ya tarehe 25/02/2017 pale Msimbazi Center, Ilala jijini Dar es Salaam ambapo utfundishwa mengi kuhusu ujasiriamali na namna ya kuanda bidhaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tomato sauce, Tomato paste, Keki, Mikate, Crips n.k

Yote hayo utafundishwa kwa shilingi elfu thelethini (30,000) tu  na utaondoka na material ya kwenda kukupatia mwongozo pia.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barau pepe yetu ya dkmandaitz@gmail.

Shukrani za pekee ziende kwa Magic Fm

No comments:

Post a Comment