Friday, 17 February 2017

Madhara matano ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa

Suala la kushiriki tendo la ndoa kabla ya kuoa au kuolewa ni moja ya tabia ambayo imeendelea kushamiri kwa vijana wengi, licha ya kuwa na madhara yake pia.

Ninazo baadhi ya athali ambazo huweza kujitokeza kutokana na kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa.

1. Utoaji wa mimba wa mara kwa mara.

2. Kupatwa na magonjwa ya zinaa.

3. Mimba zisizotarajiwa.

4. Ndoa zisizorasmi

5. Hushusha thamani ya mtu 

Pamoja na hayo yote, pia kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa kimaadili ya kidini zote mbili ni dhambi, hivyo ni muhimu kujitahidi kuepuka tendo hili kabla ya ndoa.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment