Saturday, 4 February 2017

Magonjwa hupoteza maisha ya watu, lakini ajali ni zaidi fahamu sababu 5 za ajali


Ukiachilia mbali uwepo wa magonjwa ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya watu, pia ajali za barabarani zimekuwa zikiripotiwa kuchangia vifo vya watu wengi hasa vijana.

Leo napenda tukumbushane haya mambo kadhaa ya kuzingatia uwapo barabarani au unapotumia chombo cha moto.

1. Epuka matumizi ya simu wakati unaendesha chombo cha moto (gari)

2. Usitumia chombo cha moto (gari) wakati umelewa.

3. Usiendeshe gari ukiwa hauo vizuri kiafya (unaumwa)

4. Ukijihisi unamsongo wa mawazo ni vyema ukaepuka kuendesha gari hadi utakapokuwa sawa.

5. Muda wote kuwa makini na maamuzi yako unapokuwa barabarani

Ushauri  huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment