Saturday, 11 February 2017

Mambo 7 yanayochangia baadhi ya wanawake kushindwa kushika mimba


Kuna baadhi ya watu wapo kwenye ndoa kwa kipindi kirefu bila kupata mtoto, licha ya kuhitaji kuwa na mtoto.

Wataalamwa afya wanaeleza kuwa kuna sababu mbalimbali ambazo huweza kuchangia uwepo wa tatizo hilo.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Matumizi ya sigara  au madawa ya kulevya

2. Unywaji wa pombe

3. Matumizi mabaya ya dawa bila kupata ushauri wa wataalam.

4. Kuzongwa na magonjwa sugu hasa yasiyo ambukizwa kisukari, saratani n.k

5. Ukosefu wa vyakula vyenye virutubisho.

6. Uzito uliokithiri nayo huweza kuwa sababu kwa baadhi ya watu.

7. Magonjwa ya ngono

Zingatia:-
Unapokuwa na tatizo hili ni vyema kuwaona wataalam wa afya ili kujadili ni jinsi gani unaweza kumaliza tatizo hilo na kupata mtotokatika familia yako.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment