Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 21 February 2017

Misemo 16 inayochangia kukwamisha ndoto zako

Kuna baadhi ya mitazamo inapotawala kwenye akili yako basi tambua kuwa huenda utakuwa na kazi kubwa katika kufanikiwa kimaisha au kwenye biashara.

Zifuatazo ni baadhi ya kauli ambazo huchangia watu wengi kutofanikiwa na kukosa udhubutu wa mambo:-

1)Sina mtaji
2)Sina bahati
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Kupata ni majaliwa
6)Wapo watu special siyo mimi.
7)Sisi wasindikizaji wapo waliopangiwa
8) Muda wangu bado nitapata tu
9) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
10)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
11)Usilazimishe mambo
12) kupata si uhodari nami nitapata tu.
13)Sina Connection
14) Mimi ni fungu la kukosa tu.
15) Mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
16) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi

Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu kauli hizo na mengine mengi kuhusu ujasiriamali unaweza kuhudhuria semina itakayofanyika tarehe 25/02/2017 pale Msimbazi Center jijini Dar es Salaam kuanzia saa  2 asubuhi hadi saa 10 jioni. Gharama za ushiriki ni shilingi elfu 30000/=

Au tupigie simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment