Monday, 6 February 2017

Sababu 4 zinazochangia ukose pesa katika biashara


Huenda ukawa wewe ni mfanyabiashara mzuri, lakini kutokana na sababu usizozijua unajikuta pesa zako huzioni au haujui ni namna gani zinatumika.

Zipo hapa sababu ambazo zinachangia ushindwe kuwa na pesa ya kutosha katika biashara yako.

1. Huenda una tabia zinazochangia kutumia pesa zaidi. Kama vile ulevi, uzinzi na  matumizi mabaya ya pesa.

2. Watu wanaokuzunguka sio sahihi kwako.

3. Huenda wewe ni muongeaji zaidi kuliko kuchukua hatua. 

4. Hauna mipangilio maalumu katika biashara zako

5. Unatabia ya kukata tamaa mapema.

6. Wewe si mtu wa kujiwekea akiba

Kama ungependa kupata elimu zaidi kuhusu masuala haya biashara na ujasiriamali unaweza kufika Msimbazi Center, Ilala Dar es Salaam siku ya Jumamosi ya tarehe 25/02/2017 ambapo utafundishwa namna nzuri ya kupata fedha kupiti bidhaa mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment