Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 27 February 2017

Tabia 4 zinazoongeza ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini leo napenda kukwambia kuhusu haya mambo ambayo mwanaume yeyote mwenye tatizo hili akiziendeleza basi asitegemee kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

1. Ulevi uliopitiliza
Unywaji wa pombe sana huharibu mishipa ya fahamu yote ya binadamu, hivyo hata uwezo wa kushiriki tendo la ndoa hupungua pia

2. Kutofanya mazoezi
Mazoezi ni muhimu kwa afya ya tendo la ndoa kwani husaidia kufanya mzunguko wa damu mwilini kuwa vizuri jambo ambalo pia husaidi kuimarisha tendo hilo.

3. Kufanya ngono mara kwa mara na upigaji wa punyeto:
Mara nyingi suala la hamu ya kulala na mwanamke ni kama ulaji wa chakula, tunaamini mtu mwenye njaa kali ndio atakula sana. Hivyo mwanaume anayefanya ngono na kupiga punyeto hukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

4. Ugomvi wa mara kwa mara na mwenza wako:
Kama mahusiano yako na mwenza wako yana matatizo huweza kuchangia mwanaume kuendelea kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kwani mifarakano huchangia kwa kiasi kikubwa kupoteza hamu ya tendo la ndoa na kuendelea kuishiwa nguvu za kiume.

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment