Tuesday, 7 February 2017

Vinywaji 7 vinavyoweza kuondoa sumu mwilini


Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoasumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa nanayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-

1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.

3.-Spinach-Cucumber-Cooling-Detox-Smoothie
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na  spinachi.


3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.

4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera.

5.Juisi ya mchanganyiko wa passion na tango.

6. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga strawberry


7. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi

Kwa maelezo zaidi kuhusu namna ya kuziandaa juisi hizo zote unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment