Friday, 10 March 2017

Aina 3 ya matatizo yanayoweza kumalizwa na mzizi wa mlonge haraka, Zipo pia nguvu za kiume

Siku zote tutaendelea kukwambia kuhusu mimea mbalimbali ukiwemo huu wa mlonge ambao  ni mti wenye historia ndefu katika masuala ya kimatibabu. Karibu mti wote huu wa mlonge huweza kutumika kutibu maradhi mbalimbali.

Leo nataka kukwambia hizi faida za kutumia mizizi mlonge ambayo huweza kukusaidia katika kutibu maradhi mbalimbali.

Moja ya faida za mizizi ya mti huu ni pamoja na kuamsha uwezo wa kushiriki tendo la ndao kwa wanaume endapo mhusika atapata kikombe kimoja cha maji yaliyochemshwa kwa mzizi huo kila siku angalau kwa wiki mbili mfululizo.

Aidhaa, mizizi ya mlonge inapokaushwa na kupondwa na kisha kuwekwa chumvi na kubandikwa kwenye uvimbe wowote wa viungo husaidia kupunguza tatizo hilo.
Pamoja na hayo, pia mizizi ya mlonge huwasaidia watu wenye maradhi ya koo kwa kuchemsha mizizi ya mlonge na kutumia maji yake kusukutua.

Kwa wewe ambaye utapenda kupata ufafanuzi zaidi kuhusu matumizi ya mizizi hii naomba wasiliana nasi sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment