Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 31 March 2017

Faida 5 za chai ya majani ya mpera kiafya

Mapera ni miongoni mwa matunda ya msimu ambayo yanaelezwa kuwa na virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu mwilini.

Majani ya mpera yakiandaliwa vizuri na kupata kama chai yake huweza kusaidia kuthibiti matatizo kadhaa ya kiafya ndani ya mwili kama ifuatavyo hapa chini:-

Zifuatazo ni faida 5 za majani ya mpera

1.Chai ya majani ya mpera pia husaidia kushusha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia mwili kuondoa insulini hivyo wagonjwa wa sukari wanashauriwa kuitumia mara kwa mara

2.Chai ya majani ya mpera hupunguza lehemu mbaya mwilini bila kudhuru lehemu nzuri

3.Chai ya majani ya mpera ina uwezo wa kudhibiti vijidudu vya magonjwa mwilini hasa vinavyosababisha magonjwa ya kuharisha .

4.Chai ya majani ya mpera hutuliza mchafuko wa tumbo na husaidia kukabiliana na madhara yaletwayo na sumu za vyakula mbalimbali vya kila siku

5.Chai ya majani ya mpera inatibu matatizo ya pumzi na kukohoa

Kama utapenda kujua namna nzuri ya kuyaandaa majani hayo ya mpera basi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment