Tuesday, 28 March 2017

Ishara 6 ambazo huweza kuashiria matatizo la ya moyo


Zipo dalili kadhaa ambazo huweza kuashiria uwepo wa matatizo ya afya ya moyo, licha ya kwamba ni dalili za kawaida ambazo wengi huwa hatuzitilii maanani sana.

Sasa leo ninazo ishara sita ambazo huweza kuashiria kuwa mhusika anashida ya matatizo ya moyo:-

1. Kuvimba miguu.

2. Maumivu ya kichwa

3. Kuhisi uchovu wa mara kwa mara

4. Kubanwa kwa tumbo

5. Kuzirai

6. Kizunguzungu

Zingatia
Haina maana kuwa kila mwenye dalili hizi basi anashida ya moyo, lakini huwa kuna uwezekano wa kuwa na tatizo hilo kwa asilimia kadhaa. Hivyo unapoona dalili hizo ni vizuri kufika kwenye kituo cha afya kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kiafya.

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment