Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 31 March 2017

Je, huwa unatupa kokwa la embe? ukisoma hapa naamini hauta tupa tena

Kuna baadhi ya vitu si rahisi sana kuamini unapoambiwa kama vinaweza vikatumika kama moja ya vitu vyakutoa ahueni kwa matatizo kadhaa.

Sasa leo naomba ni kwambie juu ya kokwa la embe ambalo huweza kutoa ahueni kwa matatizo kadhaa ya kiafya endapo litatumika vizuri.

Yafuatayo ni matumizi ya aina 5 ambayo huweza kutumiwa na kokwa la embe

1. Husaidia kulinda afya ya kinywa

2. Hutumika kutatua tatizo la mba

3. Husaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwilini

4. Husaidia kwa wale wenye midomo mikavu ‘dry lips’

5. Husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye damu.

Kama utapenda kujua namna nzuri ya kuaandaa kokwa la embe basi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment