Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 9 March 2017

Kama unataka kuwa mwanaume hasa katika ndoa jaribu mizizi ya miwa


Moja ya changamoto kwa wanaume wengi kwa sasa ni pamoja na kushindwa kukidhi haja za wenzi wao.

Mara kadhaa nimekuwa nikipokea malalamiko kutoka kwa wanaume wakieleza kuhusu tatizo la wao kuwahi kufika  kileleni mapema na kabla ya kutimiza haja za wenzi wao.

Hapa leo nataka kukueleza aina mbili za mizizi ambayo huweza kumaliza tatizo hilo kwa wanaume endapo ikiandaliwa vyema.

Aina hizo ni mizizi ya miwa pamoja na mizizi ya mlonge ambayo inapochemshwa na mhusika kunywa asubuhi na jioni angalau ndani ya wiki mbili huweza kutatua changamoto hiyo kwa wanaume.

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment