Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 6 March 2017

Kazi 2 za mzizi wa mzambarau kwa wanawake & wanaume

Mzambarau ni moja ya matunda yenye ladha nzuri sana, lakini mti wake pia unapotumika vizuri huweza kuwa na faida nyingine za kiafya.

Mizizi ya mzambarau inapochimbwa na kuandalia kitaalam huweza kuwa miongoni mwa njia ya kuwasaidia kinamama wenye shida ya kutoona siku zao, licha ya kwamba hawajafikia muda wa kufunga hedhi yaani 'menopause'

Aidha, magome ya mti wa mzambarau pia husaidia sana kuimarisha kinga za mwili na kuwasaidia kinababa wenye shida ya nguvu za kiume ikiwa watatumia mara kwa mara.

Hata hivyo, majani ya mzambarau pia yanapoandaliwa vizuri huwa na uwezo wa kupunguza tatizo la bawasiri (mgoro) yaani ni vile vinyama ambavyo huota sehemu ya haja kubwa.

Hayo ni machache tu, kwa mengi zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 784 300 300, +255 769 400 800.

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment