Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 20 March 2017

Mambo 6 wanayopaswa kuzingatia wanaume wakati wa uchaguzi wa mke


Kila mwanaume huwa na sifa zake pale anapohitaji mwenzi wa maisha yake, wapo ambao huangalia muonekano na wengine huangalia rangi na wachache huzingatia kuangalia tabia.

Lakini hapa ninavyo baadhi ya vigezo vingine ambavyo huhitajika  kufuatwa wakati wa kupata mwenzi wa maisha.

1. Mwaminifu

2. Mshika dini (mcha Mungu)

3.Mwenye heshima

4.Anayejiamini

5. Mwenye moyo wa kusamehe

6. Msikilizaji mzuri

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment