Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 15 March 2017

Mambo 6 yanayoweza kuchangia harufu mbaya sehemu za siri


Kuna usemi usemao 'mwanamke usafi' huu ni usemi ambao kinadada wengi na wanawake kwa ujumla hupenda kuutumia kwani kimsingi ni kweli mwanamke hupaswa kuwa msafi muda wote.

Hata hivyo, kuna baadhi ya kinadada wamekuwa wakijitahidi kwa dhati kabisa katika kudumisha usafi wa miili yao, lakini wamejikuta bado wakipatwa na tatizo la harufu mbaya na wasijue nini chanzo cha tatizo hilo.

Sasa leo nimeona nieleze hizi sababu 6 ambazo huweza kuchangia tatizo hilo kwa wanawake:-

1. Uchafu wa kawaida tu

2. Kujisafisha kupitiliza ambako huondoa bacteria wa asili ambao ni muhimu kwa viungo hivyo (sehemu za siri)

3. Kuvaa nguo zilizobana kupita kiasi au zito.

4. Kutumia vyakula vyenye viungo vingi

5. Kutumia sabuni zenye kemikali nyingi sehemu za siri

6. Kufulia nguo za ndani na sabuni zenye kemikali nyingi

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment