Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 14 March 2017

Mambo 7 yatakayokupunguzia uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo

Magonjwa ya  moyo ni yale magonjwa ambayo huathiri moyo na mishipa yake, lakini hapa nimeona ni vyema tufahamishane hizi njia za kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa hayo.

Mambo ya kufanya ili kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo

1. Punguza kula vyakula vyenye mafuta mengi mara kwa mara

2. Epika ulaji wa nyama, hususani nyama nyekundu

3. Jitahidi kutumia nafaka hasa zile kama unga wa dona, jamii ya kunde, mbogamboga na matunda.

4. Fanya mazoezi ya mwili angalau dakika 30 kwa siku

5. Dhibiti uzito wa mwili

6. Hakikisha unaepuka msongo wa mawazo

7. Epuka uvutaji wa sigara au utumiaji wa tumbaku

Kwa ushauri na maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment