Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 20 March 2017

Mambo manne yakuyaepuka unaposumbuliwa na kikohozi

Bila shaka unaweza kuwa ni miongoni mwa watu ambao umewahi kusumbuliwa na kikohozi, lakini ukatumia dawa mbalimbali na ukajikuta bado kikohozi kinaendelea.

Sasa hali hiyo huweza kusababisha na mambo kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na aina ya vyakula na mambo fulani fulani:-

Sasa leo naomba nikwambie haya mambo huweza kuchangia kikohozi kushamiri zaidi:-

1. Kwanza punguza au acha kutumia vyakula vya baridi

2. Epuka ulaji wa vyakula vinavyoandaliwa kwa mafuta mengi

3. Epuka uvutaji wa sigara.

4. Epuka kulala chale (yaani kulalia mgongo)

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment