Monday, 27 March 2017

Faida 4 utakazozipata kwa kula mboga za majani na matunda tuMara kadhaa tumekuwa tukihamasishana kuhusu umuhimu wa vyakula mbalimbali pamoja na matunda.

Leo tunapenda tuendelee kukumbushana kuhusu umuhimu wa vyakula hivyo, hususani mboga za majani pamoja na matunda.

Kielelezo hiki hapa chini kinafafanua zaidi kuhusu umuhimu wa mboga za majani na matunda:-


Kwa maelezo zaidi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment