Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 14 March 2017

Matatizo 10 magumu ya kiafya yanayoweza kutatuliwa na asali

Asali ni moja ya bidhaa nzuri ambayo baadhi ya watu hutumia kama chakula muhimu na hujenga afya pia.

Baadhi ya maradhi ambayo huweza kupatiwa ahueni kutokana na matumizi ya asali

1. Kuharibika kwa nywele

2. Matatizo ya maumivu ya viungo.

3. Vidonda

4. Matatizo ya tumbo / na kujaa kwa gesi

5. Kulinda afya ya moyo.

6. Kuimarisha uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume

7. Huboresha kinga za mwili.

8. Kupunguza tatizo la uzito mkubwa.

9. Husaidia kwa wenye chunusi

10. Kupunguza uchomvu 

Kwa msaada zaidi au ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment