Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 23 March 2017

Matatizo manne ambayo huweza kuchangiwa na ulaji wa nyama nyekundu

Kila chakula huwa na umuhimu wake ndani ya mwili lakini chakula hicho hicho huweza kuwa na mdhara pia.

Hivyo ndivyo ilivyo ndani ya nyama hasa nyama nyekundu yaani nyama ya ng'ombe na mbuzi licha ya kwamba nayo imesheheni sifa zake ikiwa ni pamoja na virutubisho kama protini na madini aina ya chuma lakini bado inamadhara yake pia.

Miongoni mwa madhara ya nyama nyekundu ni pamoja na haya yafuatayo:-
1. Inaelezwa kuwa ulaji wa nyama nyekundu kwa kiasi kikubwa huchangia uwezekano wa saratani ya utumbo mkubwa.

2. Pia ulaji wa nyama nyekundu huchangia kudhoofisha mfumo wa umeng'enyaji chakula tumboni

3. Huongeza hatari ya magonjwa ya moyo.

4.Huongeza hatari ya kisukari (diabetes type 2)

Kwa maelezo au ufafanuzi zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment