Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 16 March 2017

Mbegu za maboga namna zinavyoimarisha nguvu za kiume


Mbegu za maboga ni miongoni mwa mbegu zenye  protini na madini ya kutosha hivyo kuizifanya mbegu hizo kuwa muhimu ndani ya mwili.

Mbegu hizi huweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wale wanaopenda kutafuna-tafuna .

Kimsingi mbegu hizi  zina faida nyingi kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa kadhaa endapo zitatumika vizuri.

1.  Zinaongeza nguvu za kiume

2. Huimarisha kinga ya mwili

3. Huongeza uwezo wa macho kuona

4. Dawa bora ya uvimbe

5. Huongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha

6. Hulinda afya ya moyo

Jinsi ya kula mbegu hizi

Unaweza kula zikiwa kavu na ndiyo utapata faida nyingi zaidi au pia unaweza kuzikaanga kidogo kama dakika 15.

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment