Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 9 March 2017

Mbegu za mchicha zinavyoweza kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake

Si ajabu kusikia mwanamke anasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa, kwani asilimia kubwa wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo hilo ambalo huweza kuchangiwa na sababu mbalimbali.

Sasa leo naomba nikwambie kuhusu hiziz mbegu za mchichi ambazo huweza kutatua tatizo hili kwa baadhi ya wanawake.

Mbegu za mchicha zinaweza kumsaidia mwanamke mwenye changamoto hii ya kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Pamoja na mbegu hizo za mchicha kuweza kusaidia kuondokana na tatizo hilo ni vyema wanawake wakajua baadhi ya sababu ambazo huenda zimewapelekea kuwa na tatizo hilo.

1. Matatizo ya kisaikolojia.

2. Kuwepo ndani ya mahusiano mabaya

3. Matumizi ya baadhi ya dawa.

4. Magonjwa

5. Kunyonyesha au ujauzito.

6. Umri mkubwa

Kwa maelezo zaidi kuhusu matumizi ya mbegu hizi unaweza kunipigia moja kwa moja kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment