Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 16 March 2017

Njia 6 zitakazoongeza uwezo wako wa kufikiri haraka


Kwa kawaida binadamu huwa tunatofautiana namna ya uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo na ndio maana hata wanafunzi darasani utaona kuna wale ambao hushika namba moja na wale ambao hushika namba za mwisho wakati wote hufundishwa na mwalimu mmoja na darasa moja pia.

Hata hivyo, uwezo wa kufikiri kati ya mtu mmoja na mwingine huweza kutegemea na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na mazingira ya ukuaji na uhalisia wa familia yake.

Hapa leo ninayo baadhi ya mambo ambayo yakizingatiwa huweza kusaidia kuongeza uwezo wa kufikiri kwa wewe ambaye unajikuta uwezo wako umekuwa ukishuka chini siku hadi siku.

Zifuatazo ni mbinu 6 zinazoweza kuongeza uwezo wa kufikiri:-

1. Kupata muda wa kutosha wa kupumzika

2. Kula vizuri

3. Kufanya mazoezi mara kwa mara

4. Kujenga tabia ya kupenda kujisomea

5. Kutoogopa kujaribu mambo mapya.

6. Kucheza michezo inayoilazimisha akili kufikiri

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment