Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 16 March 2017

Njia 7 wanazozitumia watu wenye afya bora kulinda afya zao


Kuna baadhi ya mambo ukiyafanya katika maisha huweza kukusaidia sana kuboresha afya yako na kuepukana na magonjwa ya mara kwa mara.

Kimsingi miili yetu huhitaji vitu kadhaa ili kuendelea kubaki na afya bora na kustahimili mikiki mikiki ya kimaisha.

Zifuatazo ni njia 7 zitakazokufanya uendelee kubaki na afya njema siku zote.

1. Hakikisha unakula chakula bora mara zote.

2. Jaribu kutenga muda wa mapumziko hata kama ni mchache

3. Fanya mazoezi kila siku angalau nusu saa kwa siku

4. Tengeneza utaratibu wako mzuri wa kukabiliana na mawazo yako 'stress'

5. Kunywa maji yakutosha siku zote. Angalau glasi nane na kuendelea kwa siku

6. Zingatia ulaji wa matunda mbalimbali 

7. Imarisha tabasamu lako kila siku, usikubali siku ipite bila kufurahi.

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment