Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 8 March 2017

Tazama picha za namna mvua ya leo ilivyoleta madhara kwa wakazi wa Dar


Leo maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kuliamka na mvua ambayo kuna baadhi ya maeneo imeleta madhara ya hapa na pale pamoja na usumbufu wa wakazi wa jiji hilo.

Miongoni mwa wakazi ambao wamekumbwa na madhara ya mvua hiyo ni pamoja na wakazi wa Ukonga, Mombasa hasa eneo la Mongolandege baada ya mto msimbazi kujaa maji na kujikuta wakilazimika kushindwa kuvuka upande wa pili ili kufika maeneo yao ya kazi.

Hapa ninazo picha kadhaa zinazoonesha namna mvua hii ya leo March 08/2017 siku ya wanawake Duniani ilivyoleta usumbufu kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.Tunapenda kuwataarifu pia watu wote ambao wanahitaji kufika ofisi zetu za Mandai Products Company Limited kwa siku ya leo ya tarehe 08/03/2017 wasipite njia ya mombasa kutokana na maji kujaa na badala yake washukie kituo kipya karibu na gongolamboto mwisho na kisha wapande bodaboda zitawaleta hadi ofisini.

Tunaomba radhi kwa usumbufu au tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 kwa msaada zaidi.

No comments:

Post a Comment