Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 8 March 2017

Video ikionesha hali ya nguvu ya maji ilivyokuwa leo kutoka Mto Msimbazi


Moja ya habari kubwa leo kwa jiji la Dar es Salaama ni kuhusu Mto Msimbazi kufurika maji na kusababisha madhara kwenye baadhi ya maeneo ikiwa ni pamoja na uharibifu wa miundombinu na makazi pia.

Hapa chini nimekuwekea kipande cha video kinachoonesha nguvu ya maji yaliyokuwa yakikatiza Mto Msimbazi kwenye eneo la Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

Karibu uitazame video hiyo hapo chini:-
Kampuni ya Mandai Products Company Limited ikishirikiana na shirika la The Work Up Tanzania (WUTA) tunatoa pole kwa wale wote walipatwa na madhara kutokana na mvua hii ya leo.

No comments:

Post a Comment