Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 30 March 2017

Zifahamu faida 5 za majani ya muembe kutoka kwa Mtaalam Mandai


Habari za mda huu tena msomaji wangu wa www.dkmandai.com karibu tuendelee kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu mimea tiba na matunda.

Kwasasa naomba tuangalie kuhusu faida za majani ya muembe:-

Zifuatazo ni faida 5 za majani ya muembe kiafya kutoka kwa Mtaaaam Mandai:-
1. Husaidia kutuliza matatizo ya upumuaji. Mfano ‘Asthma’

2. Majani ya muembe pia hutuliza maumivu ya sikio

3. Husaidia kutatua matatizo ya koo.

4. Majani ya muembe pia husaidia kuondoa sumu tumboni

5. Husaidia pia kupunguza na hata kumaliza kabisa baadhi ya matatizo ya ngozi

Kama utapenda kujua namna nzuri ya kuyaandaa majani hayo basi  wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment