Friday, 10 March 2017

Zifahamu siri 3 za kutumia mafuta ya nazi

Mafuta ya nazi ni mazuri kama yatatumika ipasavyo kwani yatakufanya uonekane vizuri na mwenye afya na mwenye ngozi ya kuvutia.

Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake zaidi mwilini:-

1. Huboresha mfumo wa umeng'enyaji chakula mwilini.

2. Huimarisha afya ya moyo.

3. Huweza kutumika kulainisha sehemu za kike za wanawake wenye tatizo la ukavu.

Zingatia
Hakikisha unapata mafuta halisi ili kupata matokeo mazuri zaidi na yenye manufaa kwa afya yako.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

No comments:

Post a Comment