Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 14 April 2017

Acha kutupa maganda ya ndizi anza kwa kuyatumia kwa matatizo haya


Kuna baadhi ya vitu ukiambiwa kuwa vinafaida zake unaweza kubisha au kuhisi unadanganywa mfano leo nikikwambia kuhusu faida za ganda la ndizi naamini ni wachache ndio wanaweza kuamini

Lakini ni ukweli kuwa ganda hilo la ndizi linamanufaa yake licha ya kuwa wengi hulitupa baada ya kula tunda hilo.
 
Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1.Ung'arisha wa meno
Chukua sehemu ya ndani ya ganda la ndizi kisha tumia kwa kusugue kwenye meno itafanya meno yako kuwa meupe.

2. Kuumwa na mbu na wadudu
Sugua kwa ganda la ndizi kuondoa maumivu na wekundu utokanao na kuumwa na mbu na wadudu.

3. Kuondosha mikunjo usoni (Wrinkles)
Changanya ute wa yai na nyuzi nyuzi za ganda la ndizi kisha paka usoni kwa dakika 20, Kupoteza mikunjo.
Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment