Saturday, 8 April 2017

Aina 3 ya vyakula vya kuepuka ili kuondokana na maumivu ya viungo

shutterstock_273398612
Maumivu ya viungo ni moja tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua watu mbalimbali hasa wazee na mara nyingi maumivu haya huwa sehemu zile za maungio yaani joint

Leo naomba nikwambia hivi vitu vitatu ambavyo ni vyema ukaepuka ikiwa unataka kuepuka tatizo hilo leo maumivu ya viungo.

1. Epuka ulaji wa vyakula vya kupikwa kwa mafuta mengi hasa kukaangwa.

2. Epuka ulaji wa mikate mweupe 'white bread' na  badala yake unaweza kutumia brown bread ukiweza

3. Epuka unywaji wa vileo kwani navyo huweza kuchangia tatizo hilo

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment