Wednesday, 19 April 2017

Aina 4 ya mafuta asili yenye kuzuia mihare ya jua kwenye ngozi yako


Kwa kawaida ngozi nzetu huhitaji umakini mkubwa ili ziendelee kubaki vizuri na kuwa na afya bora na kama tunavyojua sehemu karibia yote ya mwili wa mwanadamu imefunikwa na ngozi.

Kutokana na umuhimu huo naamini kuwa ngozi ni muhimu kutunza zaidi kwani husaida kulinda baadhi ya vitu ambavyo hupatikana ndani ya miili yetu.

Sasa leo naomba kukwambia kuhusu baadhi ya mafuta ya asili ambayo husaidia kulinda afya ya ngozi hususani kudhurika na miale ya jua.

1. Mafuta ya parachichi
Mafuta haya yanawingi wa kirutubisho kiitwacho mono- saturated fats hivyo huweza kuilinda ngozi dhidi ya miale ya jua.

2. Mafuta ya mzaituni
Mafuta haya nayo ni mazuri kwa afya ya ngozi hususani kwa kulinda ngozi dhidi ya miale ya jua.

3. Mafuta ya nazi
Haya mafuta ya nazi pia yanauwezo pia kwa kulinda afya ya ngozi dhidi ya miale ya jua.

4. Mafuta ya mbegu za karoti
Pia mafuta haya huilinda ngozi dhidi ya ukali wa miale ya jua.

Zingatia
Mihare ya jua inapochoma ngozi yako moja kwa moja kwa mda mrefu huweza kusababisha madhara yakiwemo ya saratani ya ngozi.

Kwa maelezo zaidi au ushauri wasilina na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment