Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 3 April 2017

Anza leo kufanya mazoezi ya kutembea upate faida hizi 7

Mazoezi ni muhimu katika kujenga afya za miili yetu licha na kuilinda dhidi ya magonjwa mbalimbali hasa yasiyoambukiza.

Hata hivyo, watu wengi hupuuza kufanya mazoezi kutokana na sababu mbalimbali, huku baadhi yao wakidhani kufanya mazoezi ni lazima uende sehemu maalum za ufanyaji mazoezi na kusahau kuwa hata kutembe tu nako ni moja ya sehemu ya mazoezi.

Hapa ninazo miongoni mwa faida 7 za mazoezi hayo ya kutembea:-

1. Humfanya mhusika kujisikia vizuri

2. Njia rahisi ya kuujenga mwili katika hali ya ukakamavu.

3. Hupunguza uwezekano wa matatizo ya shinikizo la damu.

4. Husaidia kuimarisha mifupa

5. Hupunguza hali ya mfadhaiko stress.

6. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili.

7. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji

Kwa ushauri zaidi unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga, Mombasa eneo la Mongolandege au tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment