Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 8 April 2017

Dalili 7 kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha

times you shouldn't drink water
Maji ni moja ya hitaji muhimu ndani ya miili yetu wanadamu na inaelezwa kuwa asilimia kubwa ya miili yetu imetawaliwa na maji.

Paamoja na umuhimu huo wa maji, lakini kuna baadhi ya watu si wapenzi sana wa kunywa maji sasa leo nimeomba nivyema nieleze kuhusu dalili za mwili kukosa maji.

Dalili 7 kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha

1. Kuwa na midomo mikavu

2. Kupatwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara

3. Ukavu wa ngozi ya mwili

4. Ukavu wa macho

5. Kupatwa na maumivu ya viungo mara kwa mara 'joint pain'

6. Kupatwa na tatizo la umeng'enyaji wa chakula mara kwa mara

7, Kupata haja ndogo yenye unjano zaidi

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment