Tuesday, 18 April 2017

Dalili 8 zinazoashiria mirija yako ya uzazi inatatizo


Kama utakuwa ni mfuatiliaji wetu mzuri naamini utakumbuka kuwa leo tulianza kuzungumzia kuhusu sababu za mirija ya uzazi kuziba na hivyo kuchangia tatizo la kutoshika ujauzito.

Kwasasa naomba nikueleze kuhusu hizi dalili zitakazokueleza kuwa mirija yako inatatizo:-

1. Maumivu ya chini ya kitovu ya mara kwa mara.

2. Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiana

3. Kuwa na historia ya kutoshika mimba kwa mda mrefu.

4. Kutokwa na uchafu usio wa kawaida sehemu za siri (ukeni)

5. Maumivu wakati wa haja ndogo

6. Maumivu ya nyuma ya mgongo

7. Kupata hedhi nzito

8. Kuhisi uchovu

Hizo ndizo dalili za mirija kuziba, lakini endelea kuwa karibu na tovuti hii kwani baadaye nitakuletea njia za asili ambazo huweza kumaliza tatizo hili.


Kwa maelezo zaidi au ushauri wasilina na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku


No comments:

Post a Comment