Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 4 April 2017

Faida 3 za kula zabibu mara kwa maraZABIBU hujulikana kama chanzo kizuri cha divai, lakini pia huweza kuliwa kama tunda na tunda hili hukua katika kichana chenye zabibu 6 hadi 300.

Matunda haya inaelezwa kwamba yalianza kulimwa huko nchini Uturuki, lakini kwa hapa kwetu nchini yanapatikana zaidi mkoani Dodoma.

Matunda haya huwa na rangi ya nyekundu iliyoiva, nyeusi, bluu ya kukoza , njano, kijani na hata pinki, licha ya kwamba hapa kwetu Tanzania wengi tumezoea kuyaona matunda haya yakiwa na rangi nyeusi.

Zifuatazo ni faida 3 za zabibu kiafya

a)Hukuweka mbali na maradhi ya moyo

b)Husaidia kuongeza damu mwilini

c) Ni chanzo cha madini ya manganese.

Tunatoa huduma za ushauri kuhusu virutubisho tiba na masuala mbalimbali kuhusu matunda tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

2 comments: