Thursday, 20 April 2017

Faida utakazozipata kwa kula mahindi


Mahindi ni moja ya zao la chakula ambalo hulimwa mikoa mingi hapa nchini hususani nyanda za juu kusuni.

Hata hivyo, zao hili pia huweza kutumika kama kiburudisho endapo yatachomwa au kuchemshwa.

Pamoja na hayo, yote mahindi yanafaida kadhaa ndani ya miili yetu endapo mhusika atakula mara kwa mara.

Kwanza mahindi yana sifa ya utajiri wa kuwa na vitamin mbalimbali ikiwa ni pamoja na  vitamin A, B , E.

Pia mahindi ni chanzo kizuri cha madini ya chuma, magnesium, calcium, phosphorus ambayo yote hayo ni muhimu kwa siha ya mwili.

Mahindi pia huweza kutumika kama 'ant aging' hivyo hushauriwa kutumiwa na wazee kwa faida zaidi.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/0784 300 300/ 0769 400 800 au barua dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment