Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 4 April 2017

Hili ndio kosa kubwa ambalo vijana wanapaswa kuliepuka katika maisha


Kosa kubwa mojawapo ambalo watu wengi wanalifanya haswaa vijana ni pale anapotaka kila anachofanya watu wakisifie au waongee kwamba wamefurahi.

Na wengi huwa wameacha kufanya mambo sahihi kwa sababu tu watu hawajawasifia.Hii imesababisha watu wawe wanaendeshwa na maoni ya wengine na pia hamasa yao iwe inashikiliwa na wengine.

Usifanye kitu kwa sababu unataka kujulikana. Fanya kwa sababu unaamini ni jambo sahihi na lina mchango kwenye maisha yako na ya wengine.

Tambua kuwa kuna mambo ambayo watu hawatakuunga mkono hadi yafikie kiwango fulani cha mafanikio.


USIISHI KUFURAHISHA WENGINE, ISHI KUKAMILISHA MALENGO YAKO.

See You At The Top

Source: Joel Nanauka

Tunatoa huduma za ushauri kuhusu virutubisho tiba na masuala mbalimbali kuhusu matunda tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment