Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 18 April 2017

Ifahamu njia hii asili ya kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba


Wahenga walisema kuwa ahadi ni deni na kama utakumbuka kuwa nilikuwa nimekuahidi msomaji wangu kuwa leo nitakuelea njia asili inayoweza kumsaidia mwanamke mwenyetatizo la mirija ya uzazi kuziba.

Sasa jambo la kufanya ni kupata SANAMAKI na ZATTARI ujazo sawa kabisa baada ya hapo chota ujazo wa ngumi yako kisha chemsha kwa maji kiasi cha lita moja na nusu.

Acha maji hayo yachemke mpaka yabaki nusu lita halafu utakunywa asubuhi  na usiku. Kunywa siku moja tu kisha baada ya hapo utarejea tena baada ya MWEZI MMOJA.

ZINGATIA.
Kabla ya kunywa tena mwezi unaofuata ni vyema ukapima kwanza kama umeshika ujauzito au laa kwasababu tiba hii haifai kutumiwa na mama mjamzito. (MIMBA)

Pia kwa wale ambao hawafahamu SANAMAKI na ZATTARI unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 ili upatiwe maelezo ya kina zaidi kuhusu matumizi ya njia hii.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment