Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 10 April 2017

Ifahamu njia ya kumaliza tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi


Inawezekana ukawa ni miongoni kati ya watu ambao huwa unasumbuliwa na tatizo la fizi kutoka damu mara kwa mara na hujajua nini cha kufanya ili kumaliza tatizo hilo.

Huenda kuna wakati umejikuta ukimega tunda na kujikuta limebaki na damu kutoka kwenye fizi kama ni hivyo basi tambua unatatizo la fizi zako kuvuja damu

Kama ni kweli unasumbuliwa na shida hiyo, au ndugu, rafiki yako basi mnaweza kutumia njia hii ifuatayo kumaliza tatizo hilo.

Unachopaswa kufanya ni kutafuta majani ya mpera na kuyaosha vizuri kwa maji safi na salama kisha tafuna majani hayo asubuhi na jioni kwa mda usiopungua dakika kumi kila siku kwa wiki moja mfululizo hadi mbili na utaona mabadiliko.
Majani ya mpera tunayozungumzia hapa ni kama haya

Kwa msaada zaidi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment