Tuesday, 4 April 2017

Je, unajua kuwa ulaji wa ndizi utakupatia vitu hivi vinne?Ndizi ni tunda lenye ladha ya sukari ya asili na isiyo na madhara mwilini lakini pia ni tunda lenye faida lukuki.

Hapa leo ninazo faida kadhaa za tunda hili ambazo nitaziorodhesha kama ifuatavyo:-

a) Kwanza utakuwa umepata chanzo cha nishati mwilini, hivyo mwili unapokosa nguvu unaweza kutumia tunda hili kama chakula na husaidia kabisa kuongeza nguvu ndani ya mwili.

b) Chanzo cha vitamin B6 na madini ya potassium

c)Hupunguza uwezekano wa shinikizo la damu

d) Hulinda afya ya mifupa.


Tunatoa huduma za ushauri kuhusu virutubisho tiba na masuala mbalimbali kuhusu matunda tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment